Neema ya Roho
- John Mgandu
- Dec 22, 2023
- 1 min read
Updated: Jan 29, 2024
Neema ya Roho Mtakatifu iko na nguvu na uwezo, wa kutuhakikishia sisi kwamba ana uwezo, kusafisha dhambi zetu, kusafisha dhambi zetu x2
Na kutuunganisha sisi na Mungu kwa njia ya imani Imani kwa Yesu Kristu kwa njia ya ubatizo
Kwa njia ya Roho Mtakatifu, tunashiriki mateso Mateso ya Yesu Kristu kwa kuifia dhambi

Comments