top of page

Ni Chakula cha Roho

Ni chakula cha roho zetu x2

Kweli mwili wa Bwana nayo damu ya Bwana x2

Kweli ni chakula ni chakula cha roho zetu


1. Mwili wa Bwana, damu ya Bwana ndiyo chakula kwa wapendao.

2. Tujitakase mbele ya Bwana kwa moyo safi tukampokee.

3. Tukiungana na Bwana Yesu uzima wake tutaupokea

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page