top of page

Ni nani Amezaliwa

Ni nani amezaliwa, ni Yesu amezaliwa Mwokozi amezaliwa, Siku ya leo Krismasi

Tushangilie, amezaliwa siku ya leo Krismasi Tushangilie, amezaliwa siku ya leo Krismasi


Na nyota nzuri ikaonekana, kule Mbinguni kwa Mungu baba tumshangilie ee Mwokozi Yesu amezaliwa


Bethlehem tushangilie, Mwokozi Yesu amezaliwa Amezaliwa aa Bethlehem siku ya leo Krismasi


Tushangilie Mwokozi Yesu, amezaliwa Krismasi Tushangilie, siku ya leo tupige ngoma


Mama Maria asante sana, kwa kumzaa Mwokozi Yesu Tushangilie ee Mwokozi Yesu amezaliwa

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page