Ni Nani Hawa
- Deo Kalolela
- Oct 31, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 25, 2023
Ni nani (hawa) watembeao kwa furaha (wote pamoja) waki jongea altare(yake Mungu) ni wateule wake Bwana walioalikua kwa karamu x2
Yakupasa ujiulize, ndugu kikwazo gani, kinacho kufanya uiogope meza ya Bwana
Hebu watazame wenzako, wanavyo kwenda kwa furaha, wakiijongea meza ya Bwana kwa karamu
Bwana Yesu ameutoa, mwili wake kuwa chakula, na damu yake kaitoa kwetu kama kinyawaji

Comments