Ni Siku Njema Leo
- Anonymous
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Ni siku njema leo Bwana ametuandalia, njoni tumfanyie shangwe (kwa nyimbo zetu) x2 (mwokozi wetu) x 2
Bwana anatulinda , siku hata miaka njoni tumfanie shangwe kwa nyimbo zetu…
Bwana anatulinda anatupa neema…
Tuimbe kwa furaha tupige vugelegele

Comments