top of page

Nimekosa

Updated: Dec 23, 2023

Nimekosa (Baba) nimekosa, nimekosa (Baba) nimekosa nimekosa Baba nimekosa nihurumie x2

  1. Nimeyasema yasiyofaa (kwako) nimeyatenda yasiyofaa Baba nimekosa (nimekosa) nihurumie.

  2. Nimeyaona yasiyofaa (tena) nimesikia yasiyofaa Baba nimekosa (nimekosa) nihurumie.

  3. Kwa sababu ya matendo yangu( haya) jina lako latukanwa bure Baba nimekosa (nimekosa) nihurumie.

  4. Ninaleta familia yangu (kwako) ninayatubu makosa yao yote nimekosa (nimekosa) nihurumie.

  5. Ninalileta Kanisa lote (kwako) ninawaleta na viongozi wake nimekosa (nimekosa) nihurumie.

  6. Ninawaleta wakenya wote (kwako) ninayatubu makossa yao Baba nimekosa (nimekosa) nihurumie.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page