top of page

Nimemkuta Daudi

Updated: Feb 24, 2024




Nimemkuta Daudi mtumishi wangu (mwema)

Nikampaka mafuta ili mkono wangu uwe naye daima x2

  1. Mkono wangu uliomtia mafuta/ Ndio utakao mti a nguvu

  2. Kwa mkono wangu hodari / Pembe yake itatukuka sana.

  3. Daima ataniita Mungu wangu / Nami nitamwita mwanangu.


OR

Nimemkuta Daudi mtumishi wangu (mwema)

Nikampaka mafuta ili mkono wangu uwe naye daima x2

  1. Mkono wangu uliomtia mafuta, ndio utakaomtia nguvu.

  2. Adui hawataweza kumshinda, wala waovu hawatamtesa.

  3. Nitakuwa mwaminifu kwake na kumfadhili, kwa jina langu atapata ushindi mkubwa.

  4. Yeye ataniita: Wewe ni Baba yangu, Mungu wangu, mwamba wa wokovu wangu.


Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page