top of page

Nimeona Maji


Nimeona maji yakitoka hekaluni upande wa kuume aleluya x2. Na wote waliofikiwa na maji wakaokoka (nao wakasema) msifuni Bwana x2.


  1. Mshukuruni Bwana, kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele aleluya.

  2. Na abarikiwe yeye ajaye, kwa jina la Bwana…………………………..

  3. Tumebarikiwa toka, nyumbani mwa Bwana……………………………

  4. Bwana ndiye aliye Mungu wetu, aliyetupa nuru……………………….

  5. Atukuzwe Baba na Mwana, na Roho Mtakatifu………………………...

  6. Kama mwanzo na sasa na siku zote, na milele amina………………..

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page