Nimewalisha kwa Unono wa Ngano
- Stanslaus Mujwahuki
- Oct 14, 2023
- 1 min read
Nimewalisha kwa unono wa ngano, Na kuwashibisha asali (asali) Nimewalisha kwa unono wa ngano, Na kuwashibisha asali itokayo mwambani
Nimewalisha kwa kiini cha ngano Na kuwashibisha asali itokayo mwambani
Katika shida waliniita, waliniita Katika shida nami nikawaokoa

Comments