Nimtume nani?
- Alfred Osonga
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 23, 2023
Ni mtume nani ni mtume nani, Nitume mimi x 2 Nami nitakwenda shambani mwako, nikavune yote yaliyo bora, unitume Bwana x2
M-najitoa kwa Bwana Mungu m-kaifanye kazi ya Bwana, enendeni mkaifanye
Viumbe vyote wahubirini, na mwisho wote wafike kwake,wakaishi milele yote
Mavuno yake sasa tayari m-kayavune yaliyo bora, enendeni mkayavune

Comments