top of page

Ninatamani Kujongea

Ninatamani kujongea ee Kujongea meza yako x2 (Lakini mimi siwezi Bwana wangu (Bwana wangu) nifanye nini nijongee meza yako ( Bwana) nisaidie x2

  1. Kwenye karamu, ninajongea, kula Mwilio, na Damu yako, nipokee Bwana wangu

  2. Ingawa mimi, sistahili, kuijongea, meza yako, nipokee Bwana wangu

  3. Ee Bwana wangu, unipokee, mezani pako, ninajongea, kula Mwili wako Bwana

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page