Ninaungama
- Anonymous
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Ninaungama Dhambi zangu zote kwani nimekosa (Baba) nihurumie x 2
Nimekosa kwa mawazo, kwa maneno na vitendo
Kutotimiza wajibu kweli nimekosa, kweli nimekosa.
Ninakuomba ee Bikira Maria ewe mwenye heri.
Na malaika watakatifu nanyi ndugu niombeeni.

Comments