top of page

Ningekuwa na Mabawa

Updated: Dec 23, 2023



Ningekuwa na mabawa, ningeruka hadi mbinguni,

Ningekuwa na ufunguo, ningufungua mlango wako,

(Niingie nyumbani mwako, nikuimbie Mungu wangu,

Katika makao yako, makao ya milele)x2

  1. Malaika wanakuimbia, nyimbo nzuri za furaha, Makerubi hata maserafi, wanasifu jina lako (mimi)

  2. Ningekuwa mimi ni bahari, ningevuma kwa sauti, Ningekuwa mimi ni kengele,ningelia usikie (mimi)

  3. Naamini kwamba siku moja, nitafika mbele zako, natamani sana kuja kwako, kwenye raha ya milele

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page