top of page

Nitacheza

Updated: Dec 23, 2023


  1. Nitakwenda kwa shangwe na vigelegele niingie nyumbani mwa Bwana Mungu wetu

  2. Njooni nyote wazee vijana na watoto, mshangilieni leo nyumbani mwake Bwana

  3. Nitatangaza sifa zake Mungu Mwenyezi, kwenye kusanyiko nitakuimbia wewe

  4. Nitasema asante kwake Mola Rabuka, kwa ukarimu wako usio na kifani

  5. Nitatoa shukrani zangu kwako Muumba, nitakushukuru leo kesho na daima

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page