top of page

Nitaimba kwa Furaha


Nitaimba kwa furaha, na kucheza kwa maringo Nikitaja na kusifu jina lako Maria x2

  1. Jina lako takatifu, nitaliimba kwa shangwe Jina lako lenye heri, nitalisifu daima

  2. Pamoja na malaika, nitalisifu kwa shangwe Jina lako ee Maria, jina lenye kupendeza

  3. Jina la Mama wa Yesu, jina la Malkia mwema Jina la Mama wa Mungu, nitalitukuza sana

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page