top of page

Nitajongea Mbele ya Meza

Nitajongea mbele ya meza (yako) nipokee x2 (Roho yangu) Yesu inakutamani, (ukae ndani) yangu nami ndani yako, nipate uzima wa milele) x2

1. Karibu Yesu wangu, shinda nami daima (moyoni mwangu) uwe na mimi siku zote za maisha yangu.

2. Karibu Yesu kitulizo cha kiu (moyoni mwangu) uwe na mimi siku zote za maisha yangu.

3. Karibu Yesu wangu kitulizo cha njaa (moyoni mwangu) uwe na mimi siku zote za maisha yangu

4. Karibu Yesu wangu shibe ya roho yangu (moyoni mwangu) uwe na mimi siku zote za maisha yangu

5. Karibu Yesu wangu uwe tulizo langu (moyoni mwangu) uwe na mimi siku zote za maisha yangu.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page