Njoni Kwangu
- Anonymous
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Njoni kwangu, ninyi nyote munaosumbuka x2 Aleluya, aleluya, aleluya x2
Mcheni Bwana, enyi watakatifu wake.
Kwa maana wenye kumcha, hawakosi mahitaji yao.
Bali wamtafutao Bwana, hawakosi Chema cho chote.
Na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.

Comments