top of page

Njoni Nyote Tumshangilie

Njoni nyote tumshangilie Bwana Mungu wetu x2

1. Na kwa maisha yetu tunakusalimu

Na kwa upendo wako, tunakuhukuru.

2. Na kwa umoja wetu, tunakuheshimu

Na kwa imani yetu, tunakutukuza.

3. Na kwa furaha yetu, tunakusifu wee

Na kwa uchungu wetu, tunakuomba wee.

4. Na kwa mazao yetu, tunajitolea.

Na haja zote Baba, tunakutolea.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page