Njoni Tucheze (Nyanyukeni)
- Antonio J. Ngigi
- Oct 12, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 23, 2023
Njoni tucheze mbele zake Bwana kwa mapendo;njoni tutoe shukurani zetu siku zote
Njoni wazee hata na vijana na watoto;njoni wamama nanyi wasichana tufurahi-Kwa shangwe
Njoni tutoe ushuhuda wetu hadharani; njoni tuyatangaze maajabu yake Bwana-kwa shangwe
Njoni katika madhabahu yake na dhabihu;njoni katika sinagogi lake tumsifu-Kwa shangwe

Comments