Njoni Tumwimbie na Kumshangilia
- Hymsco Library

- Oct 28, 2023
- 1 min read
Njoni tumwimbie na kumshangilia, njoni tumwabudu Bwana x2
1. Njoni tumjongee, njoni kwa masifu, Njoni tumwabudu Bwana
2. Tumfanyie shangwe, mwamba wa wokovu -
3. Yeye ndiye Bwana, yeye Mungu mkuu -
4. Yeye ndiye Mfalme, wa wafalme wote
5. Milima ni yake pia makorongo -
6. Bahari ni yake, pia nchi kavu -
7. Yeye Mungu wetu, aliyetuumba -
8. Sisi ndio watu, wa malisho yake –

Comments