Njoo Malaika
- Anonymous
- Nov 18, 2023
- 1 min read
Njoo Malaika uchukue sadaka, upeleke
mbele ya Altari ya Bwana, (Njoo x2)
Shuka Malaika toka mbinguni,
Uchukue sadaka mbele ya Bwana
Ndio mazao ya nchi yetu,
Na kazi yetu wanadamu
Twakutolea vipokee
Uvibariki uvitakase

Comments