top of page

Njooni Wote Kula

Njooni wote kula /njooni wote kunywa mwili na damu ya Bwana Yesu (njooni wote) njooni wote kula njooni wote kunywa mwili na damu ya Bwana Yesu.

  1. Meza ya Bwana sasa tayari, tumpokee Mwana wa Mungu

  2. Mfalme wa Mbingu ashuka kwetu, kukaa nasi mioyoni mwetu.

  3. Tusongelee meza ya Bwana, kwa nyoyo safi tumpokee

  4. Imani yetu ataongeza, nao upendo ataukuza

  5. Yeye ni shina la uzima mpya, yeye ni njia wazi ya mbingunI

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page