top of page

Nuru Huwazukia



Nuru huwazukia wote wenye adili - gizani x2 {Bwana ni - mwenye fadhili Tena ni - mwenye huruma Na kazi zake - anazitenda kwa haki} x2

  1. Kweli atendaye fadhili na kumkopesha Atengenezaye mambo yake kwa haki

  2. Kwa maana hataondoshwa hata kidogo Mwenye haki atakumbukwa milele yote

  3. Wala yeye hataogopa habari mbaya Nao moyo wake ulomtumaini Bwana

  4. Hata waombe watesi wote wameshinda Amekirimu na kuwapa maskini wote

  5. Haki yake kweli yadumu milele yote Pembe yake inatukuzwa kwa utukufu

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page