Nyimbo Tamu
- Ray Ufunguo
- Nov 22, 2023
- 1 min read
Updated: Dec 19, 2023
(Mungu mwenye nguvu), uhimidiwe (Mungu wa upendo) uhimidiwe kwa tenzi tamu tumwimbie Mungu, kwa nyimbo tamu tumwimbie sifa
(Aleluya tumwimbie nyimbo tamu (leo) tumuimbie Mungu tumwimbie nyimbo tamu) x2
Nitapaza sauti nikuimbie wewe uliye Mungu wangu, nitawaita wengi wakuimbie wewe uketiye mbinguni
Ninakuomba Bwana pokea sifa hizi ninazokuimbia zinatoka moyoni ninaimba kinywani uzipokee Bwana
Jina lako ni kuu, uhimidiwe Bwana milele na milele, wewe ni mwenye uhimidiwe Bwana milele na milele

Comments