top of page

Pendo Lako Yesu

Pendo lako yesu limenivutia niwe wako milele x2

1.Yesu wangu nimetambua pendo lako ni tamu,

La nivuta nikaacha hayo ya dunia,

2.Walimwengu nimewaacha kukufuata wewe,

Kwa sababu ya mapendo uliyonionyesha

3.Yesu Mkombozi wa watu kutoka kwa Baba

Ndiwe nuru ndiwe mwanga kwetu wanadamu.

4.Utukufu wako sawa na ule wa Baba

Wa milele na daima udumu milele

5.Ndiwe wa kwanza wa Baba ni mwanae mpenzi

Ni Mungu ni Masiya nafsi ya pili.

6.Mungu Muumba wa watu utukufu ni wako

Na Mwanao utumwani akatuokoa.


Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page