Pokea Baba
- Lucas Okello
- Oct 28, 2023
- 1 min read
Pokea Baba Sadaka zetu twakutolea kwa moyo safi (Tunakutolea Baba (Baba) uzipokee) x 2
Mkate wetu ee Bwana, tunakutolea, ni mazao ya mashamba,Bwana upokee.
2. Divai yetu ee Bwana, tunakutolea, ni mazao ya mashamba, Bwana upokee.
3. Na fedha zetu ee Bwana, tunakutolea, ni bidii yetu Baba, Bwana upokee.
4. Na sala zetu ee Bwana, tunakutolea, ni shukurani zetu Baba, Bwana upokee

Comments