Pokea Sifa
- Hymns
- Nov 15, 2023
- 1 min read
Pokea sifa Bwana pokea sifa jina lako
litukuzwe, Bwana pokea sifa
Uliumba vitu vyote Bwana pokea sifa
Mbingu na dunia vya kuabudu
Bwana pokea sifa
Viumbe vyote vya kuabudu Bwana
pokea sifa, viumbe vyote vyakuinamia
Bwana pokea sifa

Comments