Pokea Zawadi
- Anonymous
- Oct 30, 2023
- 1 min read
(Ee Baba) Bwana Mungu pokea sadaka zetu (Baba) Bwana Mungu pokea sadaka zetu) x 2
1. Pokea zawadi zetu ee Baba muumba vyote - Ee Mungu mwenyezi kwa upendo wako ee
2. Pokea na fedha zetu ee mwenye kuumba vyote
3. Pokea mioyo yetu ee Baba Mtakatifu
4. Pokea vipaji vyetu ee mwenye kuumba vyote
5. Pokea mazao yetu ee Baba wa ulimwengu

Comments