top of page

Roho Mtakatifu Mungu

Roho Mtakatifu Mungu tushushie leo mapaji ya Mbingu

Ukiwa mbali peke yetu hatuwezi jambo jema Tuna dhambi tunakosa tu ukija ndani yetu twapona tu wema

Mbaya wetu shetani mdanganyifu atuzungusha na mitego Twaogopa kwani tu wakosefu tupe nguvu tusiche hilaye

Tufunze hekima ya taratibu siku zote tukimtii Rabi Tujiweke tayari kwa hesabu tuepuke na dhambi

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page