Roho Yangu Yesu Inakutamani
- F.A Nyundo
- Oct 22, 2023
- 1 min read
Roho yangu Yesu inakutamani, njoo kwangu Yesu unipe heri x2
Nakupenda kwani wewe mwema uniimarishe siku zote
Uje kwangu Yesu nakuomba kwani wewe u rafiki mkuu
Maumbo ya mkate na divai, umo ndani kweli nasadiki
Na uzidi ee Yesu kuwa nami, Unipe uzima wa milele

Comments