Roho Yangu Yesu Inakutamani
- Anonymous
- Oct 31, 2023
- 1 min read
Updated: Nov 20, 2023
Roho yangu Yesu inakutamani, njoo kwangu Yesu unipee heri x2
Nakupenda kwani wewe mwema uniimarishe siku zote.
Uje kwangu Yesu nakugonja, kwani wewe uu rafiki mkuu.
Maumbo ya mkate na divai umo ndani kweli nasadiki.
Na uzidi Yesu kuwa nami, unipe uzima wa milele.

Comments