top of page

Sadaka Yangu

Updated: Apr 3, 2024


Sadaka yangu, kwako ee Mungu, Ni moyo mnyofu na uliopondeka Tazama wapendezwa na kweli ya moyo, Nawe wanijulisha hekima kwa siri Nioshe kabisa na uovu wangu wote, Na kinywa changu kitanena sifa zako

  1. Maana wewe Bwana hupendezwi, Na dha-bihu za kuteketezwa, Ama- sivyo mimi ningalikutolea,

  2. Wapendezwa na dhabihu za haki, Kuto-ka- kwa moyo mnyofu, Zitolewazo juu ya madhabahu yako

  3. Ee Mungu wa wokovu wangu, Unipe moyo radhi wa utii, Usiniondolee Roho wako Mtakatifu

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page