Sadaka Yetu Baba
- Anonymous
- Oct 30, 2023
- 1 min read
Sadaka yetu Baba, twaomba upokee, (ni mazao ya mashamba yetu ee Baba upokee (Sadaka) x2
Mkatena Divai, na pia nafsi zetu, ni zawadi yetu kwako , eeh Baba upokee.
Na fedha za mifukoni, mazao ya mashamba, Ee Baba ni kazi zetu, twaomba upokee.
Pokea na nyoyo zetu, mi-i-li yetu pia, Ee Baba utupokee, tulio wana wako.
Zawadi hii twaitoa, kwa sifa yako wewe, kwa ajili yetu sisi, nazo jamaa zetu.

Comments