top of page

Salamu Maria Salamu



Salamu Maria salamu, Salamu Bikira - mama Maria, Mama wa mkombozi - mama Maria umejaa neema nyingi

  1. Utusaidie ee Mama, tuweze kufika kwako .

  2. Uwatulize wenye shida, waweze kupata raha

  3. Maishani utuongoze, tuepukane na dhambi

  4. Tuombee kwa Mungu Baba, nasi tufike mbinguni .

  5. Uwalinde na viongozi, waenezao neno la Bwana

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page