Sasa Twapeleka
- Anonymous
- Oct 30, 2023
- 1 min read
1. Sasa twapeleka, sasa twapeleka tunamtolea zawadi Mungu Baba x2
Mungu atuita, twende kwake leo, twende na tubebe zawadi mikononi x 2
2. Mtabarikiwa, mtabarikiwa, mtabarikiwa na nyumba zenu zote x2
3. Toa mali yako, ya fungu la kumi, ukamtolee zawadi Mungu wetu x2

Comments