top of page

Sasa Ule Wakati Umetimia

1. Sasa ule wakati umetimia wakujifikiria umpe Bwana nini x 2

Kumbuka ndugu ni Muumba wako (hivyo) toa sadaka yako kwa moyo safi.

2. Hata kama ndugu ni kidogo nenda, ukampe Bwana hiyo sadaka yako x 2

3. Siku zote Mungu amekulinda vyema pima ujifikirie utampa nini x 2

4. Chochote ulichonacho ewe ndugu, nenda ukampe Bwana kama shukrani x 2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page