Sauti Yake Bwana
- Anonymous
- Oct 28, 2023
- 1 min read
1. Sauti yake Bwana, yatuita twende kwake x2
(Nitume ewe Bwana, popote utakapo, mimi niko tayari, kutangaza injili x2
2. Wengine hawataki, kufwata njia zako x2
3. Furaha mali nyingi, maua ya dunia x2
4. Ni wewe Mungu wangu, ni wewe unilinde x2

Comments