Sikia Mlio
- Hymns
- Nov 7, 2023
- 1 min read
Sikia mlio! Pesa koponi
Zinalialia - zote kwa Yesu.
Kuanguka kuanguka pesa koponi,
Kila moja kwako, Yesu zipokee.
Huanguka pesa toka mikono:
Sadaka kwa Yesu ya kundi dogo.
Tulio wadogo tuna haba tu;
Tuishapo kua pendo `tazidi.
[4]
Wenye mali chache tumpe moyo;
Kwa furaha tupu atakubali

Comments