Silegei
- J.C Shomally
- Oct 21, 2023
- 1 min read
1. Naimbaimba nikikusifu Mungu wangu Nayahubiri matendo yako Mungu wangu mimi
Nakaza mwendo ili nifike mbinguni (Ili) Nimuone Mungu pia nao malaika (mimi) (Silegei, mimi, silegei, (silegei) Silegei ninakaza mwendo) x2
2. Dunia hii yahuzunisha Mungu wangu nahangaika kiumbe wako Mungu wangu, sasa
3. Mtu ni nani Bwana wewe umkumbuke, na binadamu kwanza yeye umwangazie, sasa
4. Nipe uwezo nivishinde na vishawishi, niurudie uso wako ee Mungu wangu, sasa

Comments