top of page

Simama Nami

Updated: Oct 24, 2023



1. Uliamua kuniumba bila malipo hakuna wa kukupangia juu ya uhai wangu kwani


Ni wazi hata hapa nilipo ni wewe Bwana uliyefikisha kwa kuwa ulipendezwa name wala si kwamba moyo au matendo yangu ni memabali kwa wema wako hivyo nakuomba simama name Bwana


2. Ulipendezwa nizaliwe bila kujua jema wala baya na ukauficha hata mwisho wangu


3. Uliona ni vyema kila nilicho nacho nikiondoka nikiache hapa maana siyo changu


4. Yote hayo ni ili udhihirike kwetu ukuu wako Bwana uonekane daima popote


Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page