Siniache
- Anonymous
- Nov 2, 2023
- 1 min read
Siniache Mungu Baba nimekosa x2
Kwa mawazo kwa vitendo, dhambi zangu naungama
Kwa maneno kwa wajibu, kila siku majaribu
Haya yote nimekosa, mimi kweli mkosefu
Ndugu zangu dada zangu, moyo wangu unatubu
Nimo vita na shetani, kwako Yesu Kristo wangu

Comments