top of page

Sitawaacha Yatima

Sitawaacha kama yatima niendapo mbinguni, Roho Mungu atawashukia. Wala msiwe na huzuni, naapa hakika, Roho Mungu atawafariji- Atawapa nguvu mioyoni mwenu, hakika atawafanya Tazama nitarudi kwake Baba mwenyezi, mda wangu wakuishi duniani umekwisha, nayo kazi yangu nimekwisha kamilisha


Tazama nitarudi kwake Baba mwenyezi , kwa kuwa yanipasa kutayarisha makao mtakapokuja mtapata yako shwari.


Tazama nitarudi kwake Baba mwenyezi, nitamsihi kweli amtume Roho wake, Roho wake Mungu apate kuwafariji.


Tazama nitarudi kwake Baba mwenyezi , nipate mamlaka ya mbingu na dunia tuzo langu pia nipate kulipokea.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page