top of page

Tafuteni Kwanza

Tafuteni kwanza ufalme wa Mbingu, mengine yote mtapewa kwa ziada x 2

1. Tutakula nini, mtapewa kwa ziada

Tutakunywa nini,


2. Tutalala wap,

Tutaishi wapi,

Tutasoma wapi


3. Kushibisha njaa,

Kiu kutuliza,

Mwili kuridhia


4. Elimu dunia,

Enzi ya dunia,

Mali ya dunia,


5. Baba anajua,

Kama vile ua,

Mvua nalo jua


6.Nguvu na heshima

Nayo maarifa,

Yote bila shida,

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page