top of page

Tiketi Ya Mbinguni


  1. Hii ni tiketi tiketi yangu ya Mbinguni we, naanza safari hiyo nipishe nipite dunia hii ni mapito tu , naanza safari hiyo Imani na matendo, (sala) sala na ibada (takatifu) Ndiyo ngao yangu hiyo) x2

  2. Mimi sitalala tiketi yangu nailinda tu wala sigeuki kule aliko mwovu shetani

  3. Furaha ukarimu mizigo yangu naibeba tu jemedari wangu ni Bwana Yesu simba wa vita

  4. Nimhofu nani nimwogope nani mwenye mwili, safari ni ngumu lakini Yesu ni dereva we

  5. Safiri salama katika meli ya Mbinguni nahodha shupavu ni Bwana Yesu kaza mwendo e

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page