top of page

Tubuni Wandugu

Siku Yesu alitokea ,Yohanna mbatizaji alihubiri katika nyika za uyahudi, akisema mtubuni muokoke x2

(Tubuni wandugu) kweli )tubuni wapendwa (tubuni kwa kuwa) ufalme wa mbingu u karibu x2


Yohana alikuwa ,na vazi lake lile la ngozi chakula chake kilikuwa nzige na asali ya nyuki x2


Tengenezeni njia ya Bwana ,yuanyoosheni mapito yake, zaeni matunda yapasayo Ibrahim na Isaac ndio Baba x2

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page