top of page

Tufurahi Sote Katika Bwana

Tufurahi sote katika Bwana, Tunapoadhimisha siku kuu Kwa heshima ya bikira Maria) x2

  1. Malaika wanafurahia kupalizwa kwake mbinguni Na wanamsifu mwana wa Mungu aleluya

  2. Bwana amewafunulia mataifa wokovu wake Ameidhihirisha haki yake aleluya

  3. Atukuzwe Baba na mwana na Roho Mtakatifu Kama mwanzo sasa na siku zote

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page