top of page

Tuingie Nyumba ya Bwana


Tuingie nyumbani ya Baba Mungu tumwabudu Bwana (Mungu).

Tuingie nyumbani ya Bwana tukamwabudu x2

  1. Kwa nyimbo na vigelegele tukamwabudu, furaha pia na kucheza tumshangilie.

  2. Kwa ngoma pia na vinanda tumwadhimishe, Matara pia na kinubi tumsherekee.

  3. Kwa kuwa ndiye Mungu wetu na muumba wetu, na sisi ni kondoo wa malisho yake.

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page