top of page

Tuingie Sote



1. Tuingie sote tuingie kwa furaha- Nyumbani

Ni nyumba ya sala tuingie kwa furaha- Nyumbani

SoteTuingie sote ee nyumbani mwa Bwana nyumba takatifu, twende tumwabudu x2

2. Na vijana wote tuingie kwa furaha- Nyumbani

Tumeona nyota tuingie kwa furaha- Nyumbani

3. Wenye dhambi wote tuingie kwa furaha- Nyumbani

Tumesamehewa tuingie kwa furaha- Nyumbani

4. Tukamsujudu tuingie kwa furaha- Nyumbani

Tumwabudu wote tuingie kwa furaha- Nyumbani

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page