top of page

Tuliona Nyota Yake

Tulioana nyota yake (nasi) tukakuja kusujudia Bwana x2

  1. Mamajusi wa kule mashariki walikuja kumsujudia Bwana.

  2. Walipofika kule Bethlehemu walimkuta kalazwa manyasini

  3. Walimsujudia mtoto nakusema tuliona nyota mashariki

  4. Walimtolea pia na zawadi manemane uvumba wa ubani

Comments

Rated 0 out of 5 stars.
No ratings yet

Add a rating

Recent Posts

bottom of page