Tunakimbilia Ulinzi Wako
- Furaha N. Mbughi
- Oct 13, 2023
- 1 min read
Tunakimbilia - ulinzi wako, Mzazi Mtakatifu wa Mungu, Usitunyime tukiomba katika shida zetu } x2 (Utuopoe (siku zote) kila tuingiapo hatarini, Ewe Bikira mtukufu mwenye Baraka} x2
Mama wa Mungu, ewe Bikira Maria, Utuombee kwa mwanao Yesu
Mama wa Mungu, sisi twakukimbilia, Usitunyime kila tuombapo
Mama wa Mungu, Mama usiye na doa, Utuombee kwa mwanao Yesu

Comments